Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Migron

2 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Sauli alikuwa akikaa kwenye viunga vya Gibea chini ya mkomamanga huko Migroni. Alikuwa pamoja na watu kama 600,

  2. Wanaingia Ayathi, wanapita katikati ya Migroni, wanahifadhi mahitaji huko Mikmashi.