Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Michmash: A city of Benjamin

1 mstari · 5 vipengele

Mistari kuhusu A city of Benjamin

  1. Wafilisti wakakusanyika ili kupigana na Israeli, wakiwa na magari ya vita 3,000, waendesha magari ya vita 6,000 na askari wa miguu wengi kama mchanga wa ufuoni mwa bahari. Walipanda na kupiga kambi huko Mikmashi, mashariki ya Beth-Aveni.