Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Meshezabeel

3 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Meremothi mwana wa Uria, mwana wa Hakosi, alikarabati sehemu iliyofuatia. Baada yake Meshulamu mwana wa Berekia, mwana wa Meshezabeli, alifanya ukarabati na aliyemfuatia ni Sadoki mwana wa Baana.

  2. Meshezabeli, Sadoki, Yadua,

  3. Pethahia mwana wa Meshezabeli, mmoja wa wazao wa Zera mwana wa Yuda, alikuwa mwakilishi wa mfalme katika mambo yote kuhusu mahusiano na watu.