Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Meat Offerings: Of jealousy, without oil or incense

1 mstari · 28 vipengele

Mistari kuhusu Of jealousy, without oil or incense

  1. basi atampeleka mkewe kwa kuhani. Huyo mume itampasa apeleke pia sadaka ya unga wa shayiri kiasi cha sehemu ya kumi ya efa kwa niaba ya mkewe. Huyo mwanaume kamwe asimimine mafuta juu ya huo unga wala asiweke uvumba juu yake, kwa sababu ni sadaka ya nafaka kwa ajili ya wivu, sadaka ya ukumbusho ili kukumbushia uovu.