Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Mary

3 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Mara Petro alipotambua hili alikwenda nyumbani kwa Maria, mama yake Yohana aliyeitwa pia Marko, ambako watu wengi walikuwa wamekutana kwa maombi.

  2. Msalimuni Maria, aliyefanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu.

  3. Aristarko aliye mfungwa pamoja nami anawasalimu, vivyo hivyo Marko, binamu yake Barnaba. (Mmeshapata maagizo yanayomhusu; akija kwenu, mpokeeni.)