Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Mark: Paul and Barnabas contend concerning

4 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu Paul and Barnabas contend concerning

  1. Baada ya muda, Paulo akamwambia Barnaba, “Turudi tukawatembelee ndugu katika miji yote tuliyohubiri neno la Bwana tuone jinsi wanavyoendelea.”

  2. Barnaba alitaka wamchukue Yohana aitwaye Marko waende naye.

  3. Lakini Paulo aliona si vyema kwa sababu aliwahi kuwaacha walipokuwa huko Pamfilia, hakutaka kuendelea kufanya kazi naye.

  4. Pakatokea ubishi mkali kati ya Paulo na Barnaba kuhusu jambo hili, hivyo wakagawanyika. Barnaba akamchukua Yohana Marko wakasafiri baharini kwenda Kipro.