Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Love

29 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Naye ametupa amri hii: Yeyote anayempenda Mungu lazima pia ampende ndugu yake.

  2. Kila mtu anayeamini kwamba Yesu ndiye Kristo amezaliwa na Mungu, na yeyote ampendaye Baba humpenda pia mtoto aliyezaliwa naye.

  3. Hivi ndivyo tunavyojua kwamba tunawapenda watoto wa Mungu, kwa kumpenda Mungu na kuzitii amri zake.

  4. Huku ndiko kumpenda Mungu, yaani, kuzitii amri zake. Nazo amri zake si nzito.