Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Leprosy: Incurably infected with, pulled down and removed

3 mistari · 50 vipengele

Mistari kuhusu Incurably infected with, pulled down and removed

  1. “Ikiwa upele huo utatokea tena ndani ya ile nyumba baada ya mawe kuondolewa na nyumba kukwanguliwa na kuwekwa lipu mpya,

  2. kuhani atakwenda kuikagua, na kama upele umeenea ndani ya nyumba, basi ni upele uharibuo; nyumba hiyo ni najisi.

  3. Ni lazima ibomolewe: mawe yake, mbao na lipu yake, vyote vikatupwe nje ya mji mahali palipo najisi.