Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Joseph: 9. Called Barsabas, surnamed Justus. One of the two persons nominated in place of Judas

3 mistari · 8 vipengele

Mistari kuhusu 9. Called Barsabas, surnamed Justus. One of the two persons nominated in place of Judas

  1. Kwa hiyo inatubidi tumchague mtu mwingine miongoni mwa wale ambao wamekuwa pamoja nasi wakati wote Bwana Yesu alipoingia na kutoka katikati yenu,

  2. kuanzia ubatizo wa Yohana mpaka siku aliyochukuliwa kutoka kwetu kwenda Mbinguni. Kwa kuwa mmoja wao inabidi awe shahidi pamoja nasi wa ufufuo wake.”

  3. Wakapendekeza majina ya watu wawili: Yosefu, aitwaye Barsaba (ambaye pia alijulikana kama Yusto) na Mathiya.