Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Jabesh-Gilead

27 mistari · 4 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Wakazi wote wa Yabeshi-Gileadi waliposikia yote Wafilisti waliyomtendea Sauli,

  2. mashujaa wao wote wakaondoka, wakautwaa mwili wa Sauli na miili ya wanawe, wakaileta Yabeshi. Wakaizika mifupa yao chini ya mti mkubwa huko Yabeshi, nao wakafunga kwa siku saba.