Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Jabesh-Gilead: Saul and his sons buried at

5 mistari · 4 vipengele

Mistari kuhusu Saul and his sons buried at

  1. Watu wa Yabeshi-Gileadi waliposikia yale Wafilisti walichomfanyia Sauli,

  2. mashujaa wao wote wakaenda usiku hadi Beth-Shani. Wakauchukua mwili wa Sauli na miili ya wanawe kutoka kwenye ukuta wa Beth-Shani na kurudi hadi Yabeshi, mahali ambapo waliiteketeza kwa moto.

  3. Kisha wakachukua mifupa yao na kuizika chini ya mti wa mkwaju huko Yabeshi, nao wakafunga siku saba.

  4. Wakazi wote wa Yabeshi-Gileadi waliposikia yote Wafilisti waliyomtendea Sauli,

  5. mashujaa wao wote wakaondoka, wakautwaa mwili wa Sauli na miili ya wanawe, wakaileta Yabeshi. Wakaizika mifupa yao chini ya mti mkubwa huko Yabeshi, nao wakafunga kwa siku saba.