Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Insects

5 mistari · 23 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Lakini wako viumbe wenye mabawa ambao hutembea kwa miguu minne mtakaowala: wale wenye vifundo katika miguu yao ya kurukaruka juu ya ardhi.

  2. Miongoni mwa hawa, mtakula nzige wa aina zote, senene, parare au panzi.

  3. Lakini viumbe wengine wote wenye mabawa na wenye miguu minne ni machukizo kwenu.

  4. “ ‘Mtajinajisi kwa wanyama hawa. Yeyote agusaye mizoga yao atakuwa najisi mpaka jioni.

  5. Yeyote atakayebeba mizoga ya viumbe hawa ni lazima afue nguo zake, naye atakuwa najisi mpaka jioni.