Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Imagination

5 mistari

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Wakati mtu wa namna hii asikiapo maneno ya kiapo hiki, hujibariki mwenyewe na kisha hufikiri, “Nitakuwa salama, hata kama nikiendelea kuifuata njia yangu mwenyewe.” Hili litaleta maafa juu ya nchi iliyonyeshewa sawasawa na nchi kame.

  2. Bwana kamwe hatakuwa radhi kumsamehe, ghadhabu na wivu wa Mungu vitawaka dhidi ya mtu huyo. Laana zote zilizoandikwa katika kitabu hiki zitamwangukia na Bwana atafuta jina lake chini ya mbingu.

  3. Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana, naam, viko saba vilivyo chukizo kwake:

  4. macho ya kiburi, ulimi udanganyao, mikono imwagayo damu isiyo na hatia,

  5. moyo uwazao mipango miovu, miguu iliyo myepesi kukimbilia uovu,