Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Idleness and Sloth: Effects of, afford instruction to others

3 mistari · 18 vipengele

Mistari kuhusu Effects of, afford instruction to others

  1. Nilipita karibu na shamba la mvivu, karibu na shamba la mizabibu la mtu asiye na akili,

  2. miiba ilikuwa imeota kila mahali, ardhi ilikuwa imefunikwa na magugu, na ukuta wa mawe ulikuwa umebomoka.

  3. Nikatafakari moyoni mwangu lile nililoliona, nami nikajifunza somo kutokana na niliyoyaona: