Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu History

3 mistari · 1 kipengele

Tafuta "History"

Mistari muhimu ya Biblia

  1. “Ukaulize vizazi vilivyotangulia na uone baba zao walijifunza nini,

  2. kwa kuwa sisi tumezaliwa jana tu na hatujui lolote, nazo siku zetu duniani ni kama kivuli tu.

  3. Je, hawatakufundisha na kukueleza? Je, hawataleta maneno kutoka kwenye kufahamu kwao?