Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Highways

4 mistari · 21 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Yesu akamjibu akasema, “Mtu mmoja alikuwa akiteremka kutoka Yerusalemu kwenda Yeriko, naye akaangukia mikononi mwa wanyangʼanyi. Wakampiga, wakaondoka, wakamwacha akiwa karibu kufa.

  2. Kuhani mmoja alikuwa akipitia njia ile, alipomwona huyo mtu, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani.

  3. Vivyo hivyo, Mlawi mmoja naye alipofika mahali pale, alimwona, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani

  4. Lakini Msamaria mmoja aliyekuwa akisafiri alipomwona, alimhurumia.