Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Hannah: Visits Samuel at the temple from year to year

2 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu Visits Samuel at the temple from year to year

  1. Lakini Samweli alikuwa akihudumu mbele za Bwana, kijana akivaa kisibau cha kitani.

  2. Kila mwaka mama yake alimshonea joho dogo na kumchukulia wakati alipokwea pamoja na mumewe kutoa dhabihu ya mwaka.