Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Good Children: Shall be blessed

4 mistari · 29 vipengele

Mistari kuhusu Shall be blessed

  1. Mwanangu, usisahau mafundisho yangu, bali zitunze amri zangu moyoni mwako,

  2. kwa kuwa zitakuongezea miaka mingi ya maisha yako na kukuletea mafanikio.

  3. Usiache kamwe upendo na uaminifu vitengane nawe; vifunge shingoni mwako, viandike katika ubao wa moyo wako.

  4. Ndipo utapata kibali na jina zuri mbele za Mungu na mwanadamu.