Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Fuel: For Temple, how provided

2 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu For Temple, how provided

  1. Kwa hiyo niliwatakasa makuhani na Walawi kutokana na chochote kilichokuwa cha kigeni, na kuwapa wajibu, kila mmoja katika kazi yake.

  2. Pia nilihakikisha kwamba matoleo ya kuni yaliletwa kwa wakati unaopaswa, na malimbuko kwa wakati wake. Ee Mungu wangu, unikumbuke, unitendee mema.