Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Firmament: The expanse above the earth.

7 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu The expanse above the earth.

  1. Mungu akasema, “Iwepo nafasi kati ya maji igawe maji na maji.”

  2. Kwa hiyo Mungu akafanya nafasi, akatenganisha maji yaliyo chini ya hiyo nafasi na maji yaliyo juu yake. Ikawa hivyo.

  3. Mungu akaiita hiyo nafasi “anga.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya pili.

  4. Mungu akasema, “Iwepo mianga kwenye nafasi ya anga ili itenganishe usiku na mchana, nayo iwe alama ya kutambulisha majira mbalimbali, siku na miaka,

  5. nayo iwe mianga kwenye nafasi ya anga ya kutia nuru juu ya dunia.” Ikawa hivyo.

  6. Mungu akafanya mianga miwili mikubwa: mwanga mkubwa utawale mchana, na mwanga mdogo utawale usiku. Pia Mungu akafanya nyota.

  7. Mungu akaiweka katika nafasi ya anga iangaze dunia,