Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Felix: Leaves Paul in bonds

2 mistari · 3 vipengele

Mistari kuhusu Leaves Paul in bonds

  1. Wakati huo Feliksi alitazamia kwamba Paulo angempa rushwa. Hivyo akawa anamwita mara kwa mara na kuzungumza naye.

  2. Baada ya miaka miwili kupita, Porkio Festo akaingia kwenye utawala mahali pa Feliksi, lakini kwa kuwa Feliksi alitaka kuwapendeza Wayahudi, akamwacha Paulo gerezani.