Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Families: Jailor of Philippi

4 mistari · 21 vipengele

Mistari kuhusu Jailor of Philippi

  1. Wakamjibu, “Mwamini Bwana Yesu Kristo, nawe utaokoka, pamoja na watu wa nyumbani mwako.”

  2. Wakamwambia neno la Bwana yeye pamoja na wote waliokuwako nyumbani mwake.

  3. Wakati ule ule, yule mkuu wa gereza akawachukua, akawaosha majeraha yao, kisha akabatizwa yeye pamoja na wote waliokuwa nyumbani mwake bila kuchelewa.

  4. Akawapandisha nyumbani mwake akawaandalia chakula, yeye pamoja na nyumba yake yote wakafurahi sana kwa kuwa sasa walikuwa wamemwamini Mungu.