Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Eunuch: Baptism of the Ethiopian

4 mistari · 5 vipengele

Mistari kuhusu Baptism of the Ethiopian

  1. Basi malaika wa Bwana akamwambia Filipo, “Nenda upande wa kusini kwenye ile barabara itokayo Yerusalemu kuelekea Gaza ambayo ni jangwa.”

  2. Hivyo akaondoka. Akiwa njiani akakutana na towashi wa Kushi, aliyekuwa afisa mkuu, mwenye mamlaka juu ya hazina zote za Kandake, Malkia wa Kushi. Huyu towashi alikuwa amekwenda Yerusalemu ili kuabudu,

  3. naye akiwa njiani kurudi nyumbani alikuwa ameketi garini mwake akisoma kitabu cha nabii Isaya.

  4. Roho Mtakatifu akamwambia Filipo, “Nenda kwenye lile gari ukae karibu nalo.”