Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Envy

11 mistari · 29 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Kuweka uchungu moyoni humuua mpumbavu, nao wivu humchinja mjinga.

  2. Mimi mwenyewe nimemwona mpumbavu akistawi, lakini ghafula nyumba yake ikawa imelaaniwa.

  3. Mpaka nilipoingia patakatifu pa Mungu, ndipo nilipotambua mwisho wao.

  4. Hakika unawaweka mahali pa utelezi, unawaangusha chini kwa uharibifu.

  5. Tazama jinsi wanavyoangamizwa ghafula, wanatoweshwa kabisa na vitisho!

  6. Kama ndoto mtu aamkapo, hivyo wakati uinukapo, Ee Bwana, utawatowesha kama ndoto.

  7. Basi matendo ya mwili ni dhahiri nayo ni haya: Uasherati, uchafu, ufisadi,

  8. kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,

  9. husuda, ulevi, ulafi na mambo mengine yanayofanana na hayo. Nawaonya, kama nilivyokwisha kuwaonya kabla, kwamba watu watendao mambo kama hayo, hawataurithi Ufalme wa Mungu.

  10. huyo amejivuna wala hajui kitu chochote. Yeye amejaa tamaa ya mabishano na ugomvi kuhusu maneno ambavyo matokeo yake ni wivu na mapigano, maneno ya ukorofi, shuku mbaya,

  11. na kuzozana kusikokoma kati ya watu walioharibika akili zao, walioikosa kweli, na ambao hudhani kwamba utauwa ni njia ya kupata faida.