Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Day: Times of adversity called »Day of the Lord«

2 mistari · 51 vipengele

Mistari kuhusu Times of adversity called »Day of the Lord«

  1. kabla ya wakati ulioamriwa haujafika na siku ile inayopeperusha kama makapi, kabla hasira kali ya Bwana haijaja juu yenu, kabla siku ya ghadhabu ya Bwana haijaja juu yenu.

  2. Mtafuteni Bwana, enyi nyote wanyenyekevu wa nchi, ninyi ambao hufanya lile analoamuru. Tafuteni haki, tafuteni unyenyekevu; labda mtahifadhiwa siku ya hasira ya Bwana.