Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Creeping Things: Clean

2 mistari · 4 vipengele

Tafuta "Creeping Things"

Mistari kuhusu Clean

  1. Lakini wako viumbe wenye mabawa ambao hutembea kwa miguu minne mtakaowala: wale wenye vifundo katika miguu yao ya kurukaruka juu ya ardhi.

  2. Miongoni mwa hawa, mtakula nzige wa aina zote, senene, parare au panzi.