Mistari ya Biblia kuhusu Coal: Symbolic 2 mistari · 2 vipengele Tafuta "Coal" Yote 2 Symbolic 2 Figurative · Mistari kuhusu Symbolic Isaya 6:6Ndipo mmoja wa wale maserafi akaruka kunijia akiwa na kaa la moto linalowaka mkononi mwake, ambalo alikuwa amelichukua kwa koleo kutoka madhabahuni.Isaya 6:7Akanigusa nalo kinywa changu na kusema, “Tazama, hili limegusa midomo yako, uovu wako umeondolewa, nayo dhambi yako imesamehewa.”