Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Character of the Wicked: Enticing to evil

5 mistari · 56 vipengele

Mistari kuhusu Enticing to evil

  1. Mwanangu, kama wenye dhambi wakikushawishi, usikubaliane nao.

  2. Kama wakisema, “Twende tufuatane; tukamvizie mtu na kumwaga damu, njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia;

  3. tuwameze wakiwa hai kama kaburi, wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni.

  4. Tutapata aina zote za vitu vya thamani na kujaza nyumba zetu kwa nyara.

  5. Njoo ushirikiane nasi, vitu vyote tutakavyopata tutagawana.”