Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Celibacy

27 mistari

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Hawa ndio wale ambao hawakujitia unajisi kwa wanawake, kwa kuwa wao ni bikira. Wao humfuata Mwana-Kondoo kila aendako. Hawa wamekombolewa kutoka miongoni mwa wanadamu wakawa malimbuko kwa Mungu na kwa Mwana-Kondoo.

  2. Vinywani mwao hapakuonekana uongo, wala hawakuwa na hatia yoyote.