Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Carnal Mindedness: General references

3 mistari · 1 kipengele

Mistari kuhusu General references

  1. Kwa maana kuwa na nia ya mwili ni mauti, bali kuwa na nia inayoongozwa na Roho ni uzima na amani.

  2. Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui na Mungu, kwa maana haiitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii.

  3. Wale wanaotawaliwa na mwili, hawawezi kumpendeza Mungu.