Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Captain

6 mistari · 5 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Wakaandikishwa katika jamaa zao kama ifuatavyo: Kutoka Yuda, majemadari wa vikosi vya elfu: Jemadari Adna akiwa na askari wa vita 300,000;

  2. aliyefuata ni jemadari Yehohanani, akiwa na askari 280,000 walio tayari kwa vita;

  3. aliyefuata ni Amasia mwana wa Zikri, ambaye alijitolea kwa ajili ya kazi ya Bwana, akiwa na askari 200,000.

  4. Kutoka Benyamini: Eliada, askari shujaa akiwa na watu 200,000 wenye silaha za nyuta na ngao;

  5. aliyefuata ni Yehozabadi, akiwa na askari 180,000 wenye silaha za vita.

  6. Hawa ndio waliomtumikia mfalme, mbali na wale mfalme aliweka katika miji yenye ngome huko Yuda yote.