Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Beer

3 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Kutoka hapo waliendelea mbele hadi kisima cha Beeri; kwenye kisima ambacho Bwana alimwambia Mose, “Wakusanye watu pamoja, nami nitawapa maji.”

  2. Kisha Israeli akaimba wimbo huu: “Bubujika, ee kisima! Imba kuhusu maji,

  3. kuhusu kisima ambacho kilichimbwa na wakuu, ambacho watu mashuhuri walikifukua, watu mashuhuri wakiwa na fimbo za utawala na bakora.” Kisha wakatoka jangwani kwenda Matana,