Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Bed: Made of wood

3 mistari · 8 vipengele

Mistari kuhusu Made of wood

  1. Tazama! Ni gari la Solomoni lisindikizwalo na mashujaa sitini, walio wakuu sana wa Israeli,

  2. wote wamevaa panga, wote wazoefu katika vita, kila mmoja na upanga wake pajani, wamejiandaa kwa ajili ya hofu za usiku.

  3. Mfalme Solomoni alijitengenezea gari; alilitengeneza kwa mbao kutoka Lebanoni.