Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Ashdod: People of, conspire against the Jews

2 mistari · 10 vipengele

Mistari kuhusu People of, conspire against the Jews

  1. Lakini wakati Sanbalati, Tobia, Waarabu, Waamoni na watu wa Ashdodi waliposikia kuwa ukarabati wa kuta za Yerusalemu ulikuwa umeendelea na mianya ilikuwa inazibwa, walikasirika sana.

  2. Wote walifanya shauri pamoja kuja kupigana dhidi ya Yerusalemu, na kuchochea machafuko dhidi yake.