Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Armor: The equipment of a soldier

6 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu The equipment of a soldier

  1. “Wekeni tayari ngao zenu, kubwa na ndogo, mtoke kwa ajili ya vita!

  2. Fungieni farasi lijamu, pandeni farasi! Shikeni nafasi zenu mkiwa mmevaa chapeo! Isugueni mikuki yenu, vaeni dirii vifuani!

  3. Kwa hiyo simameni imara mkiwa mmejifunga kweli kiunoni na kuvaa dirii ya haki kifuani,

  4. nayo miguu yenu ifungiwe utayari tuupatao kwa Injili ya amani.

  5. Zaidi ya haya yote, twaeni ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu.

  6. Vaeni chapeo ya wokovu na mchukue upanga wa Roho, ambao ni Neno la Mungu.