Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Anointing: Of Jesus, as a token of love

2 mistari · 32 vipengele

Mistari kuhusu Of Jesus, as a token of love

  1. Naye mwanamke mmoja kwenye ule mji, ambaye alikuwa mwenye dhambi, alipojua kwamba Yesu alikuwa akila chakula nyumbani kwa yule Farisayo, akaleta chupa ya marhamu yenye manukato.

  2. Yule mwanamke akasimama nyuma ya miguu ya Yesu akilia. Akailowanisha miguu yake kwa machozi yake, kisha akaifuta kwa nywele zake, akaibusu na kuimiminia manukato.