Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Ammonites: Excluded from the congregation of Israel

4 mistari · 11 vipengele

Mistari kuhusu Excluded from the congregation of Israel

  1. Hapatakuwa na Mwamoni au Mmoabu au yeyote wa wazao wao atakayeruhusiwa kuingia katika kusanyiko la Bwana, hata mpaka kizazi cha kumi.

  2. Kwa kuwa hawakuja kuwalaki wakiwa na mkate na maji mlipokuwa njiani mlipotoka Misri, tena walimwajiri Balaamu mwana wa Beori kutoka Pethori iliyoko Aramu-Naharaimu ili kuwalaani ninyi.

  3. Hata hivyo, Bwana Mungu wenu hakumsikiliza Balaamu bali aligeuza laana kuwa baraka kwenu kwa sababu Bwana Mungu wenu anawapenda.

  4. Msitafute mapatano ya urafiki nao maisha yenu yote.