Mistari ya Biblia kuhusu Almond Tree: Aaron's rod of the
Mistari kuhusu Aaron's rod of the
Siku iliyofuata Mose aliingia kwenye Hema la Ushuhuda akaona ile fimbo ya Aroni ambayo iliwakilisha jamaa ya Lawi haikuwa tu imechipuka, bali pia ilikuwa imetoa machipukizi, kuchanua maua na kuzaa malozi.