Mistari ya Biblia kuhusu Alexander: 4. A coppersmith
Mistari kuhusu 4. A coppersmith
Miongoni mwao wako Himenayo na Aleksanda, ambao nimemkabidhi Shetani ili wafundishwe wasije wakakufuru.
Aleksanda yule mfua chuma alinitendea ubaya mkubwa. Bwana atamlipa kwa ajili ya yale aliyotenda.