Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Agate

3 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. safu ya tatu itakuwa na hiakintho, akiki nyekundu na amethisto;

  2. Nitafanya minara yako ya akiki, malango yako kwa vito vingʼaavyo, nazo kuta zako zote za vito vya thamani.

  3. “ ‘Watu wa Aramu walifanya biashara nawe kwa ajili ya wingi wa kazi za mikono yako, wakibadilishana kwa almasi, vitambaa vya rangi ya zambarau, vitambaa vilivyotariziwa, kitani safi, matumbawe na akiki nyekundu.