Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Abner: Cousin of Saul

3 mistari · 6 vipengele

Mistari kuhusu Cousin of Saul

  1. Kulikuwako Mbenyamini mmoja, mtu maarufu, ambaye aliitwa Kishi mwana wa Abieli, mwana wa Serori, mwana wa Bekorathi, mwana wa Afia wa Benyamini.

  2. Jina la mkewe Sauli aliitwa Ahinoamu binti wa Ahimaasi. Jina la jemadari wa jeshi la Sauli aliitwa Abneri mwana wa Neri, naye Neri alikuwa babaye mdogo Sauli.

  3. Babaye Sauli yaani, Kishi na Neri baba yake Abneri walikuwa wana wa Abieli.