Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Abel-Mizraim

1 mstari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Wakanaani walioishi huko walipoona maombolezo yaliyofanyika katika sakafu ile ya kupuria ya Atadi, wakasema, “Wamisri wanafanya maombolezo makubwa.” Kwa hiyo mahali pale karibu na Yordani pakaitwa Abel-Mizraimu.