Rukia maudhui

Zanoah

3 verses

31.7100, 35.0000 Tazama kwenye Ramani za Google

Mistari inayomtaja Zanoah

  1. Zanoa, En-Ganimu, Tapua, Enamu,

  2. Lango la Bondeni lilikarabatiwa na Hanuni na wakazi wa Zanoa. Walilijenga upya, na kuweka milango yake na makomeo na nondo mahali pake. Pia walikarabati ukuta wenye urefu wa mita 450 hadi Lango la Samadi.

  3. Zanoa, Adulamu na vijiji vyake, katika Lakishi na mashamba yake, na katika Azeka na makazi yake. Hivyo walikuwa wakiishi kuanzia Beer-Sheba mpaka Bonde la Hinomu.