Kenath
32.7500, 36.6100 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Kenath
Naye Noba akateka Kenathi na makao yaliyoizunguka, akayaita Noba kwa jina lake.
(Lakini Geshuri na Aramu wakateka miji ya Hawoth-Yairi, pamoja na Kenathi na viunga vyake; jumla ilikuwa miji sitini.) Wote hawa walikuwa wazao wa Makiri babaye Gileadi.