Skip to content

Joiada

4 mistari · 3 wanafamilia

Mistari inayomtaja Joiada

  1. Yeshua alikuwa baba wa Yoyakimu, Yoyakimu alikuwa baba wa Eliashibu, Eliashibu alikuwa baba wa Yoyada,

  2. Yoyada alikuwa baba wa Yonathani, na Yonathani alikuwa baba wa Yadua.

  3. Wakuu wa jamaa za Walawi katika siku za Eliashibu, Yoyada, Yohanani na Yadua, pia wale jamaa za makuhani, waliandikishwa wakati wa utawala wa Dario, Mwajemi.

  4. Mmoja wa wana wa Yoyada mwana wa Eliashibu kuhani mkuu alikuwa mkwewe Sanbalati Mhoroni. Nami nilimfukuza mbele yangu.