Skip to content

Husham

4 mistari

Mistari inayomtaja Husham

  1. Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake.

  2. Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi.

  3. Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake.

  4. Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi.