Rukia maudhui

Henadad

2 mistari

Mistari inayomtaja Henadad

  1. Yeshua na wanawe, pamoja na ndugu zake, Kadmieli na wanawe (wazao wa Hodavia), wana wa Henadadi na wana wao na ndugu zao, Walawi wote walijiunga pamoja kusimamia wale waliofanya kazi katika nyumba ya Mungu.

  2. Walawi: Yeshua mwana wa Azania, Binui wa wana wa Henadadi, Kadmieli,