Skip to content

Hadad

4 mistari · 1 mwanafamilia

Mistari inayomtaja Hadad

  1. Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi.

  2. Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake.

  3. Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi.

  4. Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake.