Rukia maudhui

Gedaliah

26 mistari · 1 mwanafamilia

Mistari inayomtaja Gedaliah

Chuja kwa kitabu
  1. Pia wakawaongoza wanaume wote, wanawake na watoto, na binti za mfalme ambao Nebuzaradani kiongozi wa walinzi wa mfalme alikuwa amewaacha na Gedalia mwana wa Ahikamu mwana wa Shafani, na nabii Yeremia, na Baruku mwana wa Neria.