Rukia maudhui

Elioenai

2 mistari · 10 wanafamilia

Mistari inayomtaja Elioenai

  1. Wana wa Nearia walikuwa: Elioenai, Hizkia na Azrikamu; jumla yao watatu.

  2. Wana wa Elioenai walikuwa: Hodavia, Eliashibu, Pelaya, Akubu, Yohanani, Delaya na Anani; jumla yao wote saba.